Spinster
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 487
- 138
habar wa mmu,cku nyng pande hz cjaappear bt ni kwa sabab ya kua busy na mishe za maisha...
Back to topic..
Nna rafk yang wa karib,anampenz wanaependana sana,walikutana chuo na malengo yao ni kuish pamoja hapo baadae..tatzo ni kwamba rafk yng anasema amuelew mpnz wake,nikama amekua mlokole ambae anakaribia kuchanganyikiwa,mda wote anatumia kushnda kanisan,chcht akimwambia unajib mungu atatenda hata kama wanaweza kusolve hlo tatzo,amejaribu kumuuliza kulikon mana hakua hvy mwanzo,alikua good boy,mwny hofu ya mungu lkn sahv anaona kama upako umemwngia kiac cha kuchanganyikiwa..kwel wanapendana sana lkn rafk yng anadai anapoelekea co kuzur mana he is not the man she once know..yy ni roman cathoric na huyo kaka alikua roman lkn kwa ss ameokoka,na amechange sana,mbaya zaid alipomuuuliza alimjia juu na kumwambia awez kuacha kumtumikia mungu,binadam kwake c kitu,kama awez kuwa na mlokole aachie ngazi..
Mi nmeshndwa kumsaidia kwa kwel maana hlo jambo kwng ni zto pia...msaada jaman.