Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Unataka kuolewa?Wewe ni ke?!
Mwanaume unashirikishwaje kwny upuuzi huu...nasma ni jina la kike huku kwetuUnataka kuolewa?
Huyo anayenyonya ana umri gani? huo ni uamzi mgumu kupindukia.so wameamua kuua siyo mtoto wao kwa kushirikiana siyo.maana tayari hiyo ilikuwa ni nafsi hai.Za weekend wana jf? naomba niingie kwenye lengo la uzi moja kwa moja...
Iko ivi kuna mwanamke ni jirani yangu na ni mke wa mtu,ni mama wa mtoto mmoja anaenyonya,sasa katika mishemishe za ndoa akajikuta anapata mimba akiwa bado na kichanga katika kushauriana na mwenzake ikabidi wakubaliane kua wachomoe mimba,kweli wakatafuta vidonge wakatumia leo hii,sasa kitu ambacho jamaa hakufanikiwa kupata jibu ni jinsi yule mtoto aliehai kama hatodhurika na zile dawa,hapa nipo na mshkaji ndo ananipa full story nikaona si vibaya kumsaidia kwa kuwaleteeni wataalamu ili tumsaidie mawazo mke wake ajue namna ya kumnyonyesha mwanae Pas na kumpa madhara kichanga wake,bila ya kuanza kulaumiana tumsaidie kwanza lawama baadae.
Kama ishu huifahamu pita kimya sister,kwani lazima kila uzi uoneshe ujinga wako?Mwanaume unashirikishwaje kwny upuuzi huu...nasma ni jina la kike huku kwetu
Ana miezi7 kwa maelezo ya mshkajiHuyo anayenyonya ana umri gani? huo ni uamzi mgumu kupindukia.so wameamua kuua siyo mtoto wao kwa kushirikiana siyo.maana tayari hiyo ilikuwa ni nafsi hai.
Anyway wakatubu maana hiyo damu ya huyo mtoto itaendelea kuwalilia.