Huwa wanatoka japo si Sana na binti hakuwa hvyo kabla ya ndoa mzee babaMwanamke atakuwa amekuwa bored tu..
Jamaa achukue likizo atoke na mke wake,wakale bata hata week mbili.
Inachosha daily yuko yuko anafanya kitu hiko hiko kila siku.
Duh? Ulivyosema "single mother" nikachoka! Single mother wana another complications ambazo ni vigumu kumuingiza kwa wake wanaoolewa bila watoto. Single mother sometimes anakuwa influenced na experience ya mahusiano yaliyopelekea kuzaa na kubeba jukumu la kulea bila mwenza wake aliyempa mimba. Kuna uwezekano pia wa mvuto kutoka kwa X wake unaweza kuingilia mahusiano yenu. Kama angekuwa hana mtoto ni kawaida kwa wanawake kuonyesha vitabia vya ajabu kama hivyo. Unavyopaswa kufanya ni kutimiza wajibu wako kama Mme na kichwa cha familia bila kusahau na kujiangalia miendendo yako kama hiko sawa kwasababu mke naye anaweza kuchukizwa akaanza kutuma ujumbe kwa vijitabia kama hivyo. Walimwengu husema: ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI!Huyu kijana nilikutana nae katika gar miaka 5 imepita huko nyuma tukabadilishana mawasiliano kutokana na Kaz aliokuanafanya na mm kwa kazi niliokuwa nafanya zilishabihiana kiasi.
Tuliwasiliana kila wakati na hata alipotaka kuoa aliniambia na nikatoa mchango Kama rafiki wake wa karibu japo katika harusi sikuwepo kwa ajili ya majukumu ya kikaz.
Siku ,miez,mwaka ukapita juzi kanipigia simu ananiambia mkewe kawa kiburi kila wakati analalamika amechoka,ukimwambia kitu afanye atakwambia amechoka,anaweza akanuna bila sababu yeyote ya msingi.
Mnaweza mkawa ndani asianzishe mada mpka hutoe wazo mwanaume la sivyo kila mtu apo atakuwa bize na simu.
Unaweza ukamuita hata mara tatu asiitike hata Kama Yuko karibu mpka utumie sauti ya komand ndio aitike
Amejaribu mchunguza kwa kila namn a na kumshutikza katika simu yake hakukuta dalili ya mawasiliano ya mwanaume yeyote.
Ananiambia mkewe amekuwa kiburi Sana anaweza rudi na mzigo nyumbani na mwanamke akamuona na asimpokee mzigo na mwanamke akabaki anaongea na wenzie au kuchati na simu na akimuuliza jibu naomba nisamehe.
Akikosa na akikukwaza hawez omba msamaha na mnaweza kaaa siku hata tatu bila kuongea ila atapika,atafua,na kufanya usaf nyumba bila tatu.
Sasa jamaa amechoka ananiomba ushauri Mana had kwa mshenga kashepeleka taarifa na mwanmke alionywa akomba msamaha
Naomba tumsadie wadau afanyaje ili awe na furaha katika ndoa yake na ili hali mwanmke Ni single mother na jamaa anamcare mtoto wa mwanamke Kama mwanae.
Naleta kwenu wadau.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kwa usawa huu ni wachache wanaafford maisha ya outing! Kulea mtoto asiye wake jamaa ni outing tosha!Mwanamke atakuwa amekuwa bored tu..
Jamaa achukue likizo atoke na mke wake,wakale bata hata week mbili.
Inachosha daily yuko yuko anafanya kitu hiko hiko kila siku.
shida ilianzia hapa.Ni single mother
Hakuna anachokosa kabisa bajet kila kitu anapanga yeye na kupewa pesa na hiz hela za poket jamaaa kila wiki hakosi kumpa si chini ya laki kwa ajili dharura tu na gar anayo ya kutembelea lakini ndio hvyoKuna wanawake wako desperate kuolewa ila hawako tayari kuyaishi maisha ya ndoa.
Sasa uyo dada alitaka kuolewa tukashaolewa haja ya moyo wake imetimia sasa anajionea tabu kuwa mke wa mtu..
Wanawake tuolewe tukipendana na mwanaume sio kufata trend/kisa umri unaenda
Nimemshaur Sana jamaaa yangu huyuI doubt kama hao wanandoa wanashea culture!
Kwa hiyo both parties don't meet each other's expectations.
Cha msingi mshauri jamaa yako apunguze expectations kwa huyo mke wake. Mfano; atoe akilini kwamba atapokewa mizigo akirudi.
Mambo mengine wajaribu kutafuta common ground!
Mm Niko gud katika ndoa yangu naenjoy vibaya mno japo tunaishi mbali mbali kutokana na majukumu ya kikazi
Things have fallen Apart, The man looks like he is in a Season Of Waiting.No longer at ease
Mkuu ama mtu tunayemjadili kwa njia ya mzunguko ndiye wewe mwenyewe'nini!Hakuna anachokosa kabisa bajet kila kitu anapanga yeye na kupewa pesa na hiz hela za poket jamaaa kila wiki hakosi kumpa si chini ya laki kwa ajili dharura tu na gar anayo ya kutembelea lakini ndio hvyo
Na siku anaweza akaongea hata nikiachana na wew anasema hatokaa kuolewa Tena jamaaa anaumia Sana sababu anampenda sana