Amenikumbusha Nyimbo moja ya Babloom Taarab inaitwa Nampenda nzuri sana, haya mwambie kama anampenda kweli kwanza ajipange kwa jibu lolote atakalo pewa asitegemee ndio sanaa, na pia hata akikubaliwa pia aangalie sana asije kuchokolewa roho akafanywa kipoza roho wa akiba.....