Msafisha mitaro ahatarisha Afya yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafisha mitaro ahatarisha Afya yake

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 27, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Msafisha mitaro akitoa uchafu eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam jana, bila kutumia vifaa maalum hali ambayo ni hatari kwa usalama wa afya yake. Wafanya usafi wengi wapo katika hatari ya kupata magonjwa kutokana na kutokuwa na vifaa maalum. Picha na Rafael Lubava
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Kutokana na tafiti zilizofanyika hapa tanzania zilionyesha wafanyakazi wanaofanya kazi zakusafisha mji wengi wao wamekufa na TB na magonjwa yakuambukizwa!!OSHA ilikaliliwa ikisema wengi wanafanya kazi bila ya kuwa na nyenzo!!Hii ndiyo Tanzania!
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  jamaa yupo comfortable kabisa....naona anahangaika kuuvuta mzoga wa mbwa ulionasa huko chini
   
 4. Rizione Alber

  Rizione Alber Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Na hii ndio Nchi yenye raslmal nying zaid dunian!
  !
  !
  Wananch wake hoi!
  !
  !
  Why!?
  !
  !
  Solushen ninn!?
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  jamaa anajali usafi wa nguo zaidi kuliko usafi wa mwili............
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu Amavubi hana Vifaa vya kufanyia kazi ndio maana yupo hivyo Serikali haina pesa za kununuwa Vifaa vya kazi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kazi ngumu
   
Loading...