Msafiri kafiri!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,213
56,849
Labda Nina gubu hivyo Kero kwa wengine! Lkn najiona kama msafiri kafiri ndani ya nchi ninayohubiriwa kuwa ni yangu,anaehubiri kuwa utendaji umeimarika kwangu namuona kama kipofu! Au labda Mimi? ya kuteta yapo lkn hawayateti,ukweli upo lkn hautafutwi ama hautendewi! kwa upande Fulani naweka dole gumba kama Alana ya kukubali kazi lkn kwa upande mwengine ndio huo wa msafiri kafiri ndani ya nchi yake! Ninavyo fahamu ni kuwa taarifa ni msingi mpana wa maendeleo hivyo zitafutwe ili maamuzi yachukuliwe. Umaskini hautoisha kwa dizaini mambo yanavyoenda,lbd la mwisho kukazia mkazi tafuta hela usiishi kikafiri.

Kama hujaelewa liwache wapo wanaotakiwa waelewe
 
sio kafiri kakili kama ulikuwa mameno ya juwata aka msondo ngoma. hata hivyo ujumbe wako umesomeka vyema
 
Kufanya ujajusi (espionage) ndani ya ubalozi ama makazi ya balozi (diplomatic facility) wa nchi ya kigeni (Saudi) kwa namna yoyote ile ikiwa ni pamoja na kufunga camera za siri (surveillance cameras) ama ku train mfanyakazi wa embassy akawa informer wa police wa "host country" (Turkey) ni jambo ambalo ni kinyume kabisa na sheria za kimataifa za uhusiano wa kidiplomasia (Vienna Convention)

I don't even know what justification will Turkish authorities give on how they were able to capture such barbariac, controversial and vicious video footage of Khashoggi murder and body dismemberment.
Labda mi ndo sijaelewa hata mtoa mada anaongelea nini
 
Sio msafiri kafiri, ni msafiri kakiri
Msafiri kakiri mwendapole hajikwai, na akijikwa haanguki na akianguka haumii
 
Sio msafiri kafiri, ni msafiri kakiri
Msafiri kakiri mwendapole hajikwai, na akijikwa haanguki na akianguka haumii
utapata wasaa mgumu kuelewa hasa ukibadilisha maana
 
Back
Top Bottom