Msafiri ajitosa ubunge Jimbo la Kisarawe

Msafiri ajitosa ubunge Jimbo la Kisarawe

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,131
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndug Msafiri Angalieni Mpendu ambaye aliwahi kuwa Diwani wa Kata ya Marumbo, Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kisarawe katika uchaguzi ujao.

Hatua hii ni ishara ya dhamira yake ya kuendelea kuhudumia wananchi kwa uadilifu, uwazi, na maendeleo ya kweli.
1751204011372.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom