Msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza

JIFUNZE KWA PICHA HIZI

NDANI YA BUNGE LA UINGEREZA



NDANI YA BUNGE LA TANZANIA
 

Attachments

  • 1544597726040.png
    36 KB · Views: 28
Wewe kilaz.a hebu niambie kitu gani ulichonacho wewe ambacho hujaiga wamagharibi.

Dini umeiga kwasababu babu zako walikuwa wanaabudu mizimu.

Kuvaa Nguo umeiga ,ilikuwa tunavaa nyasi naagome ya Miti.


Simu unayotumia umeiga,

Mfumo wa serikali, bunge wote tumeiga. Katiba , sheria na miongozo yote ya kikanuni tumeiga uingereza.


Sasa sijui wewe kilaza una kipi ambacho hujaiga.
 
kuna mambo mazuri ya kuiga, tungeacha kabisa kuiga basi leo tusingevaa nguo,tusingekuwa na barabara ya lami,tungebaki kwenye ujima wetu.haya yoote unayoyaona yanatuletea maendeleo ni kuiga, mifumo karibu yote ya fedha nchi hii ni kuiga. Uliiona ile gari yenye JAMMING SYSTEM kule Namanga ni kuiga kote huko. mambo mazuri acha tuige, Ushoga tumekataa hatuiigi.
 
Na mshahara wake ni pauni laki moja na elfu arubaini na tisa kwa mwaka 149,000 sterling pounds. NARUDIA TENA KWA MWAKA
kwani wa kwetu anapata ngapi?!? hizo ulizosema za PM wa uingereza ni zaidi ya milioni37 za kitz kwa mwezi.
 
Hawa jamaa wako mbali sana. Wamekuwa na train za chini tangia 1863. Ukiangalia bunge lao sasa jinsi wanavyo bishana kwa hoja... Sie bado sana
 
kila nchi ina utaratibu wake wa kujilinda .halafu mambo ya ulinzi siyo lazima yatoke uingelezaq hata wao ikiwapendeza wanaaweza kuja kuiga kwetu ovaaa
 
kila nchi ina utaratibu wake wa kujilinda .halafu mambo ya ulinzi siyo lazima yatoke uingelezaq hata wao ikiwapendeza wanaaweza kuja kuiga kwetu ovaaa
issue ni msafara (mafuta) anayekupa msaada anatumia machache wewe badget ya kuungaunga unatumia kwwa fujo
 
hao wenzetu wanatumia zaidi software na akili nyingi katika ulinzi kuliko kutumia nguvu na hardware....ingekuwa soka tungewaita beki mstaarabu kama Mathias sammer
 
Huu ndo msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza. Nchi ya tano kwa uchumi mkubwa duniani, bila shaka kuna jambo la kujifunza kwa viongozi wetu wa nchi changa za kiafrika especially sisi Tanzania. View attachment 965169

Sehemu kubwa ya ulinzi wa viongozi wa juu wa Uingereza ni wa kificho. Ukitaja kujua jaribu kufanya majanga ndio utajua unachoona ni kiini macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…