Msafara wa vifaru


wabeba javeline walisimama milimani wakiusubiri msafara. walipo anza mashambulizi viongoz wa msafara hawakujua mashambulizi yanatokea wapi.
 
Ule msururu wa mavifaru ulipgwa na silaha Javiline na Stinger unaweka begani hivi halafu unaweza kushambulia zaidi ya 16km, zile HIMARS za US zilichelewa unajuwa Marekani nao walikuwa wanausoma ule mchezo kwanza kuangalia nguvu ya adui ikoje tena baadae maisha yakawa rahisi sana.

Urusi alitisha sana endapo nchi itaisaidia Ukraine silaha kwenye ile operation lakini US baada ya kujiridhisha mrusi hana issue ndio wakajitokeza waziwazi sasa kutuma mizigo mchana kweupe na HIMARS itachelewa kutoka sokoni kwa sababu hadi leo Russia ameshindwa kuiondoa sokoni.

Hizo ndege zisizo na rubai kutoka Iran zinaangushwa kama nzige kila siku
 
Kwani kaanza kupewa Leo hizo silaha!?..na watu Wana 25% ya ukraine
 
Ogopa sana hii kitu

Mrusi hana hamu na hii kitu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…