Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Huo msafara wakati unakwenda Kyiv, Ukraine ilikuwa haijapewa HIMARS.Walikuwa na Drones za Uturuki na Javerines za Marekani. Drones na Javerines zilisambaratisha kabisa msafara wa magari zaidi ya 2800 ya Urusi.Walikua wanaenda kiboya sana hivyo si hatari sana hawakujua kama pana Himars na linashabaha mbaya kabisa...
HIMARS ina GPS kufata target unayopiga walikua nayo kinyemela wale wahuni ilikua ngumu kutangaza mwanzoni..mission za kijeshi muda mwingine wanafunikia na majani ili muingie kiboya ...Huo msafara wakati unakwenda Kyiv, Ukraine ilikuwa haijapewa HIMARS.Walikuwa na Drones za Uturuki na Javerines za Marekani. Drones na Javerines zilisambaratisha kabisa msafara wa magari zaidi ya 2800 ya Urusi.
Sio kweli. Wala Marekani haijawahi kuficha aina ya Silaha inazozipeleka nchini Ukraine tangu Mwanzoni wa uvamizi wa Urusi Kama kweli umefuatilia mgogoro huu.HIMARS ina GPS kufata target unayopiga walikua nayo kinyemela wale wahuni ilikua ngumu kutangaza mwanzoni..mission za kijeshi muda mwingine wanafunikia na majani ili muingie kiboya ...
Na ikitokea wakapewa ATACMS Mrusi lazima alete Makombora ya nyuklia mpakani maana anajua atachakazwa vibaya mno maana ATACMS kwenye flight path yake kuna wakati inafanya maneuver za kutosha kukwepa anti missile systemsSio kweli. Wala Marekani haijawahi kuficha aina ya Silaha inazozipeleka nchini Ukraine tangu Mwanzoni wa uvamizi wa Urusi Kama kweli umefuatilia mgogoro huu.
Msafara wa Magari ya kivita wa Urusi uliokuwa na urefu wa 64km ilikuwa mwezi wa 3. Marekani ilitangaza kutuma mifumo 4 ya HIMARS tarehe 16 Julai. Kwahiyo HIMARS hazikuhusika katika kuusambaratisha msafara huo wa Urusi.
Kama HIMARS zingelikuwepo Mwanzoni wa uvamizi basi Urusi isingeliweza kabisa kuyateka maeneo Yale kwa haraka Sana. Ukicheki Ramani ya Ukraine utagundua kwamba,Tangu Majeshi ya Ukraine yapatiwe Mifumo ya HIMARS basi Urusi haijateka mji wowote ule. Miji ilitekwa kwa haraka kabla ya ujio wa HIMARS.
Hizo silaha za west zinakuaga mbwembwe nyingi lakini bureNa ikitokea wakapewa ATACMS Mrusi lazima alete Makombora ya nyuklia mpakani maana anajua atachakazwa vibaya mno maana ATACMS kwenye flight path yake kuna wakati inafanya maneuver za kutosha kukwepa anti missile systems
haya miuu basi tufanye haya magari yalifanikiwa kuingia salama salmin Kyiv.Sio kweli. Wala Marekani haijawahi kuficha aina ya Silaha inazozipeleka nchini Ukraine tangu Mwanzoni wa uvamizi wa Urusi Kama kweli umefuatilia mgogoro huu.
Msafara wa Magari ya kivita wa Urusi uliokuwa na urefu wa 64km ilikuwa mwezi wa 3. Marekani ilitangaza kutuma mifumo 4 ya HIMARS tarehe 16 Julai. Kwahiyo HIMARS hazikuhusika katika kuusambaratisha msafara huo wa Urusi.
Kama HIMARS zingelikuwepo Mwanzoni wa uvamizi basi Urusi isingeliweza kabisa kuyateka maeneo Yale kwa haraka Sana. Ukicheki Ramani ya Ukraine utagundua kwamba,Tangu Majeshi ya Ukraine yapatiwe Mifumo ya HIMARS basi Urusi haijateka mji wowote ule. Miji ilitekwa kwa haraka kabla ya ujio wa HIMARS.
Ndugu zako wamechezea kipigo cha mbwa koko kupitia hizo silaha za mmarekaniHizo silaha za west zinakuaga mbwembwe nyingi lakini bure
HIMARS halijawahi fyatua kitu kikawa off target. Sijui ile midude ikoje!Walikua wanaenda kiboya sana hivyo si hatari sana hawakujua kama pana Himars na linashabaha mbaya kabisa...
Hahahaha muulize Mrusi kwanini anataka kukimbia KhersonHizo silaha za west zinakuaga mbwembwe nyingi lakini bure
Linatumia GPS ya sehemu unayopiga unai set ni ghari ndio maana lazima lipige ili wasipate hasara...Mrusi analijua vizuri lile..HIMARS halijawahi fyatua kitu kikawa off target. Sijui ile midude ikoje!
Zina shida kidogo sasa mrusi kuna silaha za mmarekani alizo otea kampa mu iran azi modify/upgrade sijui zitakua na ufanisi kiasi gani!Hizo silaha za west zinakuaga mbwembwe nyingi lakini bure
Wale ilikua mbinu ya kivita sio wateke harafu waendelee kupigana Ukraine wanatekwa kwao wengine walikua wapo DRC kwenye mission za UN waliwaacha ili wayakomboe yote baada ya kupata siraha za uhakika mimi Ukraine niliwaelewa sana wao walikua wanatumia muda mwingi kuwasoma maadui huku wachache waliopo ni kulinda Nchi baada ya kupata siraha kutoka mataifa tofauti hata waliopo DRC wamerudishwa walikua zaidi ya wanajeshi 250 hao jamaa wanasifika kwa vita ya porini guerrila war..wanajeshi wachache wa Ukraine wanaweza kusumbua idadi kubwa ya wanajeshi pinzani hii niliambiwa na mjeshi mmoja alikua huko Congo ndio maana hiyo Vita inamsumbua sana Mrusi na hatoweza kushinda hata wapigane miaka kumi mbele...Sio kweli. Wala Marekani haijawahi kuficha aina ya Silaha inazozipeleka nchini Ukraine tangu Mwanzoni wa uvamizi wa Urusi Kama kweli umefuatilia mgogoro huu.
Msafara wa Magari ya kivita wa Urusi uliokuwa na urefu wa 64km ilikuwa mwezi wa 3. Marekani ilitangaza kutuma mifumo 4 ya HIMARS tarehe 16 Julai. Kwahiyo HIMARS hazikuhusika katika kuusambaratisha msafara huo wa Urusi.
Kama HIMARS zingelikuwepo Mwanzoni wa uvamizi basi Urusi isingeliweza kabisa kuyateka maeneo Yale kwa haraka Sana. Ukicheki Ramani ya Ukraine utagundua kwamba,Tangu Majeshi ya Ukraine yapatiwe Mifumo ya HIMARS basi Urusi haijateka mji wowote ule. Miji ilitekwa kwa haraka kabla ya ujio wa HIMARS.
ukiwa kichaa ficha ukichaa wako wengine wasijue , hizo silaha Ukraine kaanza kupewa kipind Urusi ipo km 11 kuingia kiev leo hii Urusi anaikimbia Kherson kurud nyuma zaid , bado uzuz wako unakuambia silaha za west ni mbwembwe wkt hao mabasha zako wanachukua kwenda kujifunza wapate kutengeneza za kwao , Ukicha uwe unauficha , JF imekuwa na watu wa mitizamo ya ajab sana tofaut na enz hizo waliokuwa wanatuvutia kusoma humu kwa mitizamo kuntu isiyo na mahabaHizo silaha za west zinakuaga mbwembwe nyingi lakini bure
bora umetupa na mifano halisi wengine humu wameweka ushabik kama vile Urusi inawalipa chochoteWale ilikua mbinu ya kivita sio wateke harafu waendelee kupigana Ukraine wanatekwa kwao wengine walikua wapo DRC kwenye mission za UN waliwaacha ili wayakomboe yote baada ya kupata siraha za uhakika mimi Ukraine niliwaelewa sana wao walikua wanatumia muda mwingi kuwasoma maadui huku wachache waliopo ni kulinda Nchi baada ya kupata siraha kutoka mataifa tofauti hata waliopo DRC wamerudishwa walikua zaidi ya wanajeshi 250 hao jamaa wanasifika kwa vita ya porini guerrila war..wanajeshi wachache wa Ukraine wanaweza kusumbua idadi kubwa ya wanajeshi pinzani hii niliambiwa na mjeshi mmoja alikua huko Congo ndio maana hiyo Vita inamsumbua sana Mrusi na hatoweza kushinda hata wapigane miaka kumi mbele...
Himars zimeanza kazi July.Walikua wanaenda kiboya sana hivyo si hatari sana hawakujua kama pana Himars na linashabaha mbaya kabisa...