Kila Nchi na utaratibu wake
Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi sasa,sana.
Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi sasa,sana.
Madongo anayotupiwa yanatosha kujua kwamba ana maadui wengi,huhitaji PhD kuliona hilo.Na hata yeye mwenyewe kusema tumuombee inaonyesha wazi kwamba anajua the risk he is facing.Umewajuaje hao maadui? Uko tayari kuisaidia polisi katika hili?
Ndio wameshindwa,wako Tanzania,hawajaenda Namibia.Maadui wameshindwa kumfuata huko?
Hapa nyie akiwatumbua munakasilika sana, kule hakuna alietumbuliwa,ndio maana bora alindwe sana tz
Huwezi binya uchumi,uteke watu then ubaki salama na ajiandae hata akishastaafu.Madongo anayotupiwa yanatosha kujua kwamba ana maadui wengi,huhitaji PhD kuliona hilo.Na hata yeye mwenyewe kusema tumuombee inaonyesha wazi kwamba anajua the risk he is facing.
Watz si wa hivo ni kila MTU Na 50 zake hakuna mwenye Wazo hilo.Hata ulindwe Na majini wenye nia ovu hawashindwi wakikutana,Kabila baba mlinzi wake ndie aliyemuondoa.Mbele ya Pesa mwanadamu ni dhaifu.Ndio wameshindwa,wako Tanzania,hawajaenda Namibia.
Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,and hence the need for more security,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi,wengi,wengi sana.
Mbona Trump au Putin wanatembea na mindege na Askari wengi tu wakiwa nje ya nchi zao kuliko wakiwa ndani ya nchi zao?