Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Sasa ni wazi Dar es Salaam imefunga. Hii ni baada ya msafara wa mgombea wa Ukawa Edward Lowassa kusimamishwa ma maelfu ya wananchi wa ubungo na kuamua kumsindikizwa mpaka Tandale.....
Mkuu alikuwa anatokea wapi anaelekea wapi?
Ianzishwe kampeni maalumu ya watu wa dar kuwaomba wa vijijini kumpigia lowassa kura iitwe "ongea na home lowassa awe raisi"

Naunga mkono hoja wahusika litazameni hili
Alikuwa anatoka Tabata kuelekea Tandale... Ule uwanja karibu na Shikamoo Pesa
nimeipenda bure