No no no in CAPITAL letter, when I say Mamluki I do not that you should be of one side.....No. Mamluki ni neno pana sana.[QUOTE=Mangaline;5277605]Do you mean JF is for one party only, and others are Mamluki?????????[/QUOTE]
CDM wakiweza kuhimili fitna na kadhfa zilizosukwa kuwasambaratisha,basi wataongeza idadi ya wabunge wengi sana sana na baada ya 2015 nchi yao.....kabisa!!kwa 2015 nina mashaka makubwa sana nguvu fulani hivi itatumika ila baada ya hapo ushindi lazima na ikulu yao