Mufiyakicheko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 892
- 86
Hapa mimi sielewi kitu watalamu na waje wa hack hii kitu na sisi tujifunze
kwanza mkuu kitu kama conax (inatumia na mytv africa ya ghana) na irdeto 2 (inatumiwa na dstv au multichoice africa ) haiwezekani kupata key. kwani key inabadilika mara kadhaa ndani ya dakika 1.
zamani miaka ya 2005 kujia nyuma ndio tulikula key enzi za irdeto 1. na nagra nao pia wameshafanya kitu hicho hicho .
sasa search thread inayoitwa cardsharing humu humu JF.
solved and case closed.....:becky:
yussufmzee@ nimalizie mawasiliano
Kabura ya yote nikushukuru umenifunguwa akili nimehangaikakwamda mlefu nimewai tumiya sisitim yakufunga dishi 2 moja kwaajili ya sigino ya2 kwaajili ya data nikweli iliwezekana mdakidogo waliishitukia
Kwasasa kuna kitu inaitwa dongo inafunguwa ira sinahamu tena nafaham haitachukuwa mda
mimi ni na reclever STRONG-SRT4930 MPG4 HD PVR naina sehem ya intanet na destop ninayo tayali imeunganiswa na intanet kwakutumia modem naomba data iliniendele kupata dstv
Kuna strong mpg2 SRT 4653X yakawaida
nikweli ukimwaga data hadharani unaweza halibu niwatutofauti wanao ingia jf hadi watumishi wa dstv katika kuhangaika baadhi ch zilizo fugwa biss ninafanikisha kufunguwa
Ninakusubili maelekezo dishi nilisha funga w7 36.0e kamautaona haiwezekani kumwaga data hapa nitumie mufiyakicheko@yahoo.com ninatanguliza shukurani
Mediaco sizote unazo weza kuweka kadi inakuwa nitobo tuu Nakuhusu kadi siku zanyuma dstv ilikuwa kadi zawo zinakubali lisiva yoyote kwasasa huo mfumo wamefuta wanauza dekod na kadi huwezi haisha kadi ikafanya sehem nyinginekwasasa unaweza kutumiya kadi ya my tv hiyoinawezekana kuhusu upatikanaji sijajuwa wewe unapatikana wapi? wanamaajenti wao ingawa kwa tanzania siwengi kwamajirani zetu zambia kira mkowa kuna maajentikadi inauzwa sh 32000Malipo kwamwezi 25000Mkuu YussufMzee nakupa zoteNaomba ushauri wako kwenye hizi receiver za dish aina ya MediaCom huwa zinakuwa na kijisehemu cha kuingiza kadi pembeni kabisa,sasa nataka kujua pale naweza kuingiza kadi gani ikatumika,na kama kadi hizo zipo zinapatikanaje thank yu in a^dvanc`e
pia kwa wale wenye madishi ya kuzunguuka au hata fixed kila leo new channels zinaengezwa. kwa hiyo kama ulikuwa una dishi lako lilofungwa miezi kadhaa nyuma na fundi , akakuwekea frequency za channels fulani, ina maana sasa kuna channel nyingi unaweza ukaziengeza au possibly channel nyengine zimebadilisha frequency kama walivyofanya itv miezi kadhaa iliyopita. ukitaka kufuatilia frequency za tv ambazo unaweza kuziangalia basi kuna website maarufu kwa frequency nazo ni hizi hapa.
generally : www.[B]lyngsat[/B].com
kama weye upo africa basi angalia Free TV - Africa - LyngSat
lakini kuna channel zinapatikana africa pamoja na asia kwa mfano hii satelite iliyowekwa hizi channel zetu kuna channel nyengine toka asia pia zinapatikana hapa tanzania
Intelsat 7/10 at 68.5°E - LyngSat
cha muhimu uweze kuingiza frequency na symbol rate ya channel husika pia kwenye link kulia kabisa anaonesha kwenye map kama channel husika miale yake inafika eneo fulani au laaa.
Kuna receiver aina (AZ DL 9000) AZ AMERICA nayenyewe nirazimauwe na computer? jee ukiwa namodem unaweza chomeka sehem ya usb ebu tujuze juu ya hilo mkuu kunanyingine (AZ DVB 500) ebu zidadavue hiyo ya kwanza inaweza funguwa key aina zote (viaccess,seca,irdeto,nagravision,alphacrypt,betacrypt,conax,cryptoworks,nds,powervu,skycrypt)inakuwa ni bora kufaham kuwa kila shirika la pay tv (mytv, dstv, etc) wanachagua shirika la kuweza kuwalinda na piracy kama vile kampuni yoyote inavyoweza kuchagua kampuni nyengine ya ulinzi. (eg ultimate security, knight support, etc)sasa hawa mashirika wa kulinda hizi tv ndio wana system zao za encryption yaani kuyazonga yale matangazo yasionekane kabisa ila kwa anayestahiki kupitia kadi zao.dstv wao wanatumia irdeto 2. (zamani walikuwa wanatumia irdeto 1 maheka wakawachakachua , wakabadilika)mytv africa wanatumia conax. (ni encryption nzito inayotumia bit nyingi kuliko encryption nyingi)na kwa wale wenye kutumia reciever za free to air watakutana na channel mbali mbali ambazo zimefungwa kwa kutumia technology kama vile betacrypt, nagravision na nyingi nyenginezo.tukiendelea na lesson ujue kuwa kila reciever yenye card imetengenezwa kwa ajili ya system fulani tu. kwa mfano huwezi kuwa na reciever yenye card ya irdeto ukata kutizama mytv. haiwezi kukubali.in the same way reciever inayo weza kuonesha (kudecrypt) dstv haiwezi kuonesha mytv africa.na pia kama alivyosema mshkaji hapo ila hiyo sina hakika nayo kuwa hawa dstv wana sera zao (kuwa hawakukubali mpaka ununue marisiva yao) ijapokuwa kama weye una reciever ya irdeto wakikuuzia kadi tu basi mambo powa.
una2mia receiver gani?msaada mwenye uwezo wa unlock codes tv mfano satellite tv 36.0e kuna chanel zilizo fungwa kwenye BISS na NAGRAVISION na betacraypt inasemekana uwezekano upo wa kuzifunguwaKuna-cryptoworks -biss -nagravision -skycrypt -conax -nds -powerVU -firecrypt -irdetoWana jf data tafadhali mwenye maujanja68.5e key tv7.0e key tv4.8e key tv36.0e key tv nanyingine nyingi munazo zifaham ninatanguliza shukilani mufiyakicheko@yahoo.com
Ninatumia strong mpeg4 SRT 4930 HDuna2mia receiver gani?