Msada wa to kwa wana jf

mosara

Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
20
Reaction score
4
Ukweli nimekwama pale ninapo sign in katika email account yangu. Id yangu hakika ni sawa. Password pia ni sawa. Baada ya kujaza na kusaign in kinakuja kile kibox cha draw image nikisha do hivyo; Naletewa swali sasa hapo ndio nachanganyikiwa, swali linakuja toufauti na maswali niliyoyachagu ambae majibu yake ya hakika ninayo pia, naomba msada wa kufanikisha, kufungua account ingine sihitaji, kwani hiyo account ni muhimu kupita maelezo. Please wana jf yeyeto mwenye advise anisaidie ili niweze kuingia,natakunguliza shukrani.
 
Mkuu hapa cio mahala pake!!!kuna jukwaa lake!!
 
mbona simple tu kufungua account nyingine arif,fanya ivo kama ajee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…