msada (SIM NOT VALID) kwenye nokia 1616-2

msada (SIM NOT VALID) kwenye nokia 1616-2

sakasaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
257
Reaction score
370
wakuu naombeni msaada ku unlock my nokia 1616-2 iweze soma lain za bongo coz ukiweka lain inasema SIM NOT VALID nimejaribu google how i can unlock....nimepata procedure ile ya #pw +code+1# but tatizo ninalopata nijinsi ya kupata hzo code ....kama una maujanja zaidi for how naweza unlock Naomba msaada wenu wakuu!!! Tankx
 
Hiyo Lazima utafute findi mwenye software mimi naweza kwa 5,000 elfu 5 napatikana morogoro 0717009369
 
wakuu naombeni msaada ku unlock my nokia 1616-2 iweze soma lain za bongo coz ukiweka lain inasema SIM NOT VALID nimejaribu google how i can unlock....nimepata procedure ile ya #pw +code+1# but tatizo ninalopata nijinsi ya kupata hzo code ....kama una maujanja zaidi for how naweza unlock Naomba msaada wenu wakuu!!! Tankx



Hi nadhani simu yako imefungwa na mtoa fulani. Hivyo tu ni maonyesho ya sim batili. Kama unahitaji kutumia simu yako ya kwanza ni lazima kufungua simu yako. Unaweza urahisi kufungua simu yako kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Unlocking4u.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua nokia yako 1616
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom