technology ya haya mambo iko advanced sana hata hizi za bure ni poa tu sema marketing gimmicks zimetuingia sana kiasi kwamba tunaisi hizi za bure zitatutokea puani which is not the case kuna internet providers wengine mpaka antivirus inatoka hukohuko jikoni wewe usiangaike-kama windows 8 inakuja na antivirus ambabo wewe ukiidownload ni bure