Msaadawa kuona Kudownload Video

Msaadawa kuona Kudownload Video

Swiper

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
444
Reaction score
169
Wana jamvi salam.
Nimekuwa na tatizo la kuangalia Youtube online, na hata video online zinakatika hazifika hata mwisho. Naomba mwenye kujua Software ya kudownload video anisaidie, hasa za free!!

Kwa sasa natumiwa material mengi online hasa video nashindwa kusiliza na kuona, nachelewa kusubmitt quizz zangu.

Msaada wa haraka unahitajika, kina watu8, C6 etc hima ndugu zanguni

SP
 
Ingia hapa kat.ph search internet download manager 6.18
 
Una2mia cm au PC? Kama una2mia PC download program inayoitwa "YTD video downloader". Ipo makini mno, unaweza kudownload video moja cku zaidi ya moja, namaanisha unaweza hata kuzima PC yako kabla haija-complete download hlf unaendelea tena baadae au cku nyingine.
 
Back
Top Bottom