Msaadap; desktop yangu ipo slow sana...

Tupa nunuwa mpya. At least kwa sasa uwe na core i7, ingawa nayo imeshapitwa na wakati.
 
Tupa nunuwa mpya. At least kwa sasa uwe na core i7, ingawa nayo imeshapitwa na wakati.

dada umekosea jukwaa. Back to topic mtoa mada unatakiwa uweke specs za mashine yako pamoja na OS unayotumia. Sasa ukienda kwa fundi ukamwambia PC yangu mbovu na umeiacha nyumbani how is he suppose to figure it out؟‎
 
PC ya uhakika inakuwa na warranty na ikiisha unawekea extended warranty, ikiisha hiyo tupa tu. Mnanunuwa PC mitumba ambazo wenzenu wameshamaliza muda wake wa mpaka extended warranty halafu mnalalamika ziko slow. Hazitengenezeki hizo, siku hizi wanazipa life span ili mwende na wakati, nyie mnataka unaitumia kuanzia bado u-kijana mpaka unazeeka? hakuna hayo siku hizi.
 
mkuu angalia vitu ambavyo umehifadhi kwenye PC yako hasa movies, nyimbo na mafile mengine yanayobeba uzito mkubwa---yapunguze. Pia kama ume-install antivirus inachangia kufanya PC iwe slow, hasa antivirus ya Kaspersky. Kama vipi isafishe PC yako ili kuondoa taka--zinachangiamkufanya PC iwe slow.
 
Icore 7, imepitwa na wakati?? Ipi ambayo ipo kwenye chart Dada?

Kuna kitu inaitwa "Bulldozer", isome hapa:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…