jamani kwa wale wenzangu waliochaguliwa na nacte jana mbona majina kwenye profile la udom siyaoni.au nyie mmeyaona jamani...nachoka mm
Hakuna kuchoka, pigia uongoz wa chuo
udom awajatoa second batch kwahiyo unatakiwa utulie.Mimi mwqenyewe ni mmoja wao