Wadau naomba msaada wa kuunganisha simu yangu nokia 3110 classic na desktop computer ili nipate internet kupitia desktop yangu cm yangu inatumia internet isp ni vodacom ntashukuru kwa msaada au ushauri

unatakiwa kuweka PC Suite au Bluetooth kwenye computer yako. Pc suite unaweza kudownload nokia website au tafuta cd yake washkaj wanazo mitaani. Bluetooth tembelea mduka ya computer hardware bei 15,000/=.
Wadau naomba msaada wa kuunganisha simu yangu nokia 3110 classic na desktop computer ili nipate internet kupitia desktop yangu cm yangu inatumia internet isp ni vodacom ntashukuru kwa msaada au ushauri
Sijajua matumizi yako yatakuwa ni nini, lakini kwa ufahamu wangu nokia 3110 classic haina 3G (teknolojia ya speed kubwa ya internet kwenye simu), internet speed yako itakuwa very slow, ningekushauri ujipinde zaidi ununue kamodem ka Voda au Zantel zinazoanzia Shs 49,000
Wadau naomba msaada wa kuunganisha simu yangu nokia 3110 classic na desktop computer ili nipate internet kupitia desktop yangu cm yangu inatumia internet isp ni vodacom ntashukuru kwa msaada au ushauri
Easy... kama unakula futari iliyopoa. You need a data cable, kama huna you can buy for less than Tshs 10000. Halafu unahitaji kudownload Nokia PC suite au Nokia OVI suite- unaipata bure kutoka website ya Nokia. Usiende kwenye websites za wengine wanaoiuza wakati wao wanapata bure. Ukisha install itakuongoza jinsi ya kuunganisha. Pia kama PC yako ina bluetooth unaweza kuunganisha kupitia bluetooth badala ya data cable. Lakini data cable is more reliable.