Msaada kuhusu kuaplay online ikitokea umeshatuma maombi tayari na yamefika then ukakumbuka hujaweka kitu flani kwenye plofile hakuna jinsi ya kuedit,naombeni msaada wenu wadau
Profile yako iko pale una edit anytime, except barua ya kazi Kwa sasa nafikiri ikienda imeenda ila other issues una edit at anytime wao ukifika muda wa ku shortlist wataangalia profile yako at that time of shortlisting