ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Aug 2, 2015 #1 nina simu aina ya tecno y4 kila nikiweka usb kwenye pc kutaka kuamisha data haikonect kuniwezesha simu yangu kuonekana kwwnye pc zaidi ya kuingiza chaji tu
nina simu aina ya tecno y4 kila nikiweka usb kwenye pc kutaka kuamisha data haikonect kuniwezesha simu yangu kuonekana kwwnye pc zaidi ya kuingiza chaji tu
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Aug 2, 2015 Thread starter #3 ok wapi mkuu chief mkwawa
Kaputupu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,486 Reaction score 1,179 Aug 2, 2015 #4 Chief-Mkwawa msaidie kijana broh.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Chacha Steven Mokiri JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 2,008 Reaction score 2,232 Aug 2, 2015 #5 Jaribu kubadirisha USB.
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Aug 2, 2015 Thread starter #6 Chachasteven said: Jaribu kubadirisha USB. Click to expand... nimebadili zaidi ya 5 lakini matokeo ni yale yale
Chachasteven said: Jaribu kubadirisha USB. Click to expand... nimebadili zaidi ya 5 lakini matokeo ni yale yale
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,419 Reaction score 82,421 Aug 2, 2015 #7 Hayo ndio matatizo ya hizo tecno zenu....vumilieni tu. #RahisiGhali
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,794 Reaction score 12,620 Aug 2, 2015 #8 jitahidi upate hata iphone5
Ramlis JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 612 Reaction score 536 Aug 6, 2015 #9 Wezesha usb debug kwenye simu yako kwanza, halafu connect kwenye pc yako chagua mtp subiria baada ya sekunde kadhaa itaonekana
Wezesha usb debug kwenye simu yako kwanza, halafu connect kwenye pc yako chagua mtp subiria baada ya sekunde kadhaa itaonekana