👆👆👆👆👆👆👆👆👆 Nyongeza mkuu Chief_mkwawa
Mkuu nataka ni scan barua.... Niwatumie DSE ktk email yao as attachments. Je hii office lens na haka ka camera kangu 5MP inaweza hiyo kazi bila zengwe au niende tu stationery...
9Ð49Ð49Ð49Ð49Ð49Ð49Ð49Ð49Ð4 Nyongeza mkuu Chief_mkwawa
Mkuu nataka ni scan barua.... Niwatumie DSE ktk email yao as attachments. Je hii office lens na haka ka camera kangu 5MP inaweza hiyo kazi bila zengwe au niende tu stationery...
Megapixel sio issue sababu camera ya 2mp inauwezo wa kujaza kioo cha monitor/laptoo cha full hd.
Cha muhimu ni quality, ieke picha kwenye mwanga mzuri na usitumie flash piga hiko kitu chako. Kama utaridhika na quality itume, kama itatoka vibaya nenda kascan stationary