tafuta fundi wa computer jirani au popote uwezapo kumpata atakusaidia,siyo kila kitu kinaweza tatuliwa kwa maelezo na maelekezo vingine vinahitaji physical contact.Ukisikiliza kila unachoshauriwa na watu hapa utaipoteza laptop yako,naona ulikuwa library wakati unapiga picha.Hahaha