Sijui kama ninalo ila huwa nasikia watu wanalisemea. Je kuna kipimo ambacho kinapima ugonjwa kuweza kujua kama mtu anao!!!! Anyway mm niko kusaka mtoto bwana. Je vipi kuhusu duphaston una idea yoyote kuhusiana na matumizi yake. Nijuze mkuu. Asante kwa ushirikiano