Msaada

Livejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
2,073
Reaction score
2,812
Habarin wapendwa...!
Kuna suala linanitatiza, kuna mdada nlikuwa nafukuzia miez kadhaa iliyopita na nlikuwa na lengo naye zuri tu ila akanikatalia, cha ajabu ameanza kunipigia simu muda mwingi umepita na mim nina mchumba tayar nimemuambia anielewi, Naomba kwa aneyfahamu anielekeze jins ya kuiblock namba yake ili asinipate kabisa
 
Mmmhh...!! Mnawaonea tu au kweli..??
 
Jamani hilo suala ni kweli limenitokea natumia namba ya tigo na yeye pia the same
 
Kaa kwenye mstari ujioni umepinda angalia wenzio walivonyooka nawe uige.
 
Huyo Mchumba Wako Umejtambulisha? Kama Bado Huyo Dada Wa Kwanza Usimkatishe Tamaa Unaweza Rud
 
Unatumia simu gani....ili tukuelejeze au download callblocker
 
 
Last edited by a moderator:

Block Kwanza PAPUCHI Yake Kisha Hatokusumbua Tena! Mtoto Wa Kiume Huwa Hachagui Na Habagui MBUNYE Hivyo MKANYAGE Kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…