uludodi JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 576 Reaction score 915 Dec 29, 2014 #1 nataka kununua king'amuzi je? kipi kizuri Azam,Startime,Contnental.
M m2n JF-Expert Member Joined Aug 7, 2013 Posts 411 Reaction score 63 Dec 29, 2014 #2 uludodi said: nataka kununua king'amuzi je? kipi kizuri Azam,Startime,Contnental. Click to expand... Uzuri wa king'amuzi unaendana na channel unazopenda kuangalia, kabla hujanunua jiulize unapenda kuangalia channel zipi.
uludodi said: nataka kununua king'amuzi je? kipi kizuri Azam,Startime,Contnental. Click to expand... Uzuri wa king'amuzi unaendana na channel unazopenda kuangalia, kabla hujanunua jiulize unapenda kuangalia channel zipi.