Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,627
- 4,330
Galaxy S3 imezimika tu haicharge na pia haiwaki, nlilala nikaiacha charging usiku nlipoamka nikaibonyeza maana nliiacha on, haikurespond nikajaribu kuiwasha haikuwaka, nimepitia mitandaoni nimeona wanaita hilo tatizo Suden death syndrome (SDS).
Mwenye uelewa juu ya hili tatizo na namna ya kuirekebisha tafadhari naomba msaada.
Mwenye uelewa juu ya hili tatizo na namna ya kuirekebisha tafadhari naomba msaada.
