hivi ukiwa na mpenzi wako then anakua na tabia ya kuuliza uliza kuhusu may be dada flan anaishi wapi au kaka flan anaishi wapi, au anaishi na nani,? afu anaongea na boy mwingine saa tano za usiku afu mbele yako then anakua anakusifia sifa ambazo hajawahi kukwambia, hivi huyo mtu anakua katika kundi gani?
Reptilia
Hivi ukiwa na mpenzi wako then anakua na tabia ya kuuliza uliza kuhusu may be dada flani anaishi wapi au kaka flani anaishi wapi, au anaishi na nani,? alafu anaongea na boy mwingine saa tano za usiku alafu mbele yako then anakua anakusifia sifa ambazo hajawahi kukwambia, hivi huyo mtu anakua katika kundi gani?
ahhahahahhahahahhahha eiyer niache!