Ni tahisi tu unaweza kununua pad zinye vichwa vya U.S.B ukiunganisha kwenye pc yako na kama game tayari unayo mfano.. fifa au aina nyingine anaweza kucheza
Kama ni desktop PC then utaweza kununua Graphics card ya kuiwezesha kucheza kama ni laptop basi hakuna jinsi, labda utafute Fifa ya miaka iliyopita kwa kuwa requirements zake zitakuwa ndogo.