Msaada

Mkumbizi

Senior Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
171
Reaction score
27
Naomba mnisaidie namna gani naweza kuatachi picha kwenye jamii forum.
 
Natumia simu na hizo pisha ziko kwenye memory ya simu.
.
Angalia hapa kama unataka ku reply some one post kuna attachment option
.
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=8590243
.
Angalia hapa kama unataka kufungua new thread kuna utaiona sehemu ya attachment option
.
https://www.jamiiforums.com/newthread.php?do=newthread&f=20
.
Lakini baada ya ku post reply ukitaka ku edit hutaona hiyo attachment option
.
Zaidi ya save and delete post sijui kwann Invisible
.
Hiyo ni baadhi ya mapungufu ya jf wapsite
.

.
.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…