msaada ;

Pazmanian

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
984
Reaction score
1,353
jinsi ya kurudisha data zilizopotea/formatted accidentally kwenye Samsung galaxy infuse 4g mfano video,picha na documenti.
 
Tumia data recovery za kawaida zinazotumika kwenye pc! Ila unachotakiwa kuafanya ni kuwa na USB cable na computer.
1.unganisha simu yako kwenye pc.
2.chagua option ya mass storage kwenye simu yako
3.Kutoka hapo unaweza kutumia data recovery software kurudisha files kupitia phone memory itakayooneka kwenye pc yako.
4.Unapo recover uzisave kwenye pc yako.
5.Then hatua ya mwisho baada ya kumaliza kurecover nikurudisha data zako ulizo recover kwenye files za simu yako!!

Sijui kama utakuwa umenipata kidogo?!!
 

unaweza kunisaidia link ya software hio unayosemea ,maana nilijaribu kupitia yodot recovery software iliitaji activation key na ni ya kulipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ