Wakuu nahitaji msaada wenu,..
Natumia simu aina ya Nokia E-71,.
Kila mara ninapojaribu kufungua video yoyote kwenye simu yangu iwe kwenye You-tube ama kwenye link yoyote ile inakataa kufunguka!!
Ninapojaribu kufungua napata ujumbe unaosema @define access point first
Tafadhali naomba msaada kwa anayejua tatizo hili,..