Msaada

Msaada

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
wakuu vipi mambo,asee makamanda nashida flani hivi sijui huku ndo sahii kupost hili swala,naitaji sehemu ambayo wanaweza kufuta tatooz kwa dar es salaam,zina nikwanza sana na nilipiga kipindi cha ujanaa now nimekua naitaji kuzitoa maana dah!!kama kuna mtu anajua naomba anijulishe,nilisha jaribu kufuta mara ya kwanza steal zika fifia hazija toka nataka za kutoa kabisa
 
Back
Top Bottom