Msaada

Msaada

Major Nyenzi

Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
19
Reaction score
8
Wana JF


Ibada za hili kanisa zimetokea kuwa kero sana hapa mtaani kwetu,


Wanasali kwa sauti kubwa sana
Wanapiga nyimbo za injili kwa sauti kubwa sana.
 
Unahitaji msaada gani sasa? Sijui sheria inasemaje kuhusu hilo, wasiliana na ofisi ya mtaa kwa msaada zaidi.
 
Mkuu hapo sheria haijaweka mipaka yoyote!
Moja kwa moja hiyo kesi inaingia ktk Nuisance (indirect interfere).
Logic ya kuachiwa misikiti na makanisa kupiga makelele hata katika makazi ya watu, ni ya kiutawala zaidi! Dini zinawafanya watu wawe wastaarabu, wasifanye uhalifu, etc. Si unajua tena dini! Usiibe, usiue, heshimu viongozi etc. au utakwenda motoni! Kuna interest zao hapo!

Unahitaji msaada gani sasa? Sijui sheria inasemaje kuhusu hilo, wasiliana na ofisi ya mtaa kwa msaada zaidi.
 

Attachments

  • too-much-noise-poluution.jpg
    too-much-noise-poluution.jpg
    19.5 KB · Views: 62
...ndo yale makanisa ya kila baada ya nyumba kumi...yanaboa sana
 
Back
Top Bottom