Msaada....

Msaada....

mgumu4real

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
11
Reaction score
4
Kuna mdada mmoja, anasema amependana na mkaka ambae ana mtoto japokuwa aliachana na mama wa mtoto kama miaka miwili iliyopita. anadai anaogopa kuendelea na huyo kaka kwa sababu anahic anaweza akarudisha moyo kwa m2 aliyezaa nae mtoto. mpeni ushauri jaman.....
 
Sasa tumpe ushauri wakati yeye hajaomba?
why tutoe ushauri halafu wewe ndo umpelekee?
wewe una uwezo gani wa kuchambua ushauri humu na kumpelekea unaofaa?
na kwa nini sisi tutoe ushauri kwa mtu ambae sio mhusika?
 
aisee! Umeanza na mashambulizi! Labda katumwa jaman mthaidie tu kwa leo harudii tena!
 
mwambie huyo dada amtegee mimba huyo jamaa azae nae..
 
kama moyo wake ni mzito kumuamini hakuna haja ya kuendelea nae,,,ausikilize moyo wake afanye maamuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom