wadau wa jukwaa hili naombeni msaada laptop yang nikiizma inakaa muda mrefu sana kisha inazima kuna maneno inaandika window is updating please do not turn off your computer, kisha inaanza kuhesab moja hadi 97 ndipo inajizima naombeni mnipe msaada kitu gan nifanye ku fix the problem nawasilisha