hapo possibility 2
1. hio simu sio samsung galaxy s3 original
2. ni original sema ni version ya kichina
fanya hivi tafuta mtu ambae ana samsung galaxy original then chukua simu yake fatiliza anavyofanya kuchange lugha then na wewe ufanye. ukiona anavyofanya wewe kwako havipo ujue kimeo hiko
alternative nyengine
bonyeza setting (icon kama ya gear)
shuka chini hadi utaona icon ina alama ya A hio ndio sehemu ya kuchange lugha