Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,956
P. . . . .! Mweeeh kumbe! Una wako! Sasa wamtakia nini wa mwenzako?
Kwenu wana JF pamoja nawe Mh. waziri wa afya mtarajiwa MziziMkavu, kuna mdada hapa JF anaitwa P....., ananisumbua sana na mapigo ya moyo kila nikimuwaza na niko mbali na yeye. Kwa kweli sina nia mbaya naye japo nina mtu wangu, nifanyeje ili anielewe nia yangu kwake? Kila nikimdokezea kuvuna asali kwake ananipa majibu ambayo hata sijamuuliza. Sili, silali bali namfikiria yeye tu kila kukicha mpaka kushika keyboard naona mizengwe. Jamani niko mbali naye niokoeni na hili jahazi la mapenzi ya ukubwani.
Hivi wanaume wa kizazi hiki
wamekutwa na nini? Yaani kujiamini na kutongoza imekuwa ni kama zoezi la
kuchinja kobe.
Utabaki unalialia hapa wenzako wanaendelea kumkamua huyo P.
P. . . . .! Mweeeh kumbe! Una wako! Sasa wamtakia nini wa mwenzako?
huyo uliyenae ulilazimishwa?au unataka ukishampuliza na P umtelekeze kama kawaida yako?
Kina P wako wengi. Ni siri yangu naomba msaada tu si jina.
we tukikuambia ututafutie mtu anaitwa E.. utatuelewa? Pambaneni huko huko anakokupa majibu yasiyoeleweka.