MTU MREFU Member Joined Jul 14, 2011 Posts 60 Reaction score 7 Feb 17, 2013 #1 Kuna game ya pool table nlikua nayo kwenye Pc imefutika na nimeisahau jina,kwa anae ifahamu anisaidie,ni kama pool table ya mitaan sheria zake na ina opt ya ku play wawili,nahitaji kui download
Kuna game ya pool table nlikua nayo kwenye Pc imefutika na nimeisahau jina,kwa anae ifahamu anisaidie,ni kama pool table ya mitaan sheria zake na ina opt ya ku play wawili,nahitaji kui download