Msaada

Msaada

gabu

Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Kunamtoto ni mlemavu wa miguu,mikono,shingo na hana masikio wala haongei, anamiaka 13.Anaomba msaada simu 0719894720
 
Jamani hiyo namba ni ya mama yake kwa anataka kuona picha yake huyo mlemavu tafadhari anipm ili kueleweshana zaidi.
 
Samahani ni typing error. Nimerekebisha waweza jaribu kumdodosa mmiliki wa hiyo namba kama hutojari
 
Maisha yenyewe haya na jinsi watu walivokwisha choshwa na utapeli wengi wataishia kusema NGASTUKA MACHALI KUNDESA, jitahidi kuthibitisha maana mimi nina moyo mgu na kutoa ni moyo.
 
Kwa wale wa moshi wanaweza kwenda bonite kiwanda cha soda wakamtafuta huyo mama kwa namba hizo na wakamwona huyo mlemavu
 
Back
Top Bottom