Msaada

Topetope

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
277
30
Mwenye Program ya yakubadili pesa za kigeni ya android anisaidie nilizo nazo haziendi na wakati
 
try OANDA currency converter watu wengi wanaitumia pia kwenda na wakati u nid to kuo online kara kwa mara.cheers
 
Hii uliyo nipatia ni ngumu

nadhani hujaielewa fresh mkuu, unapo ingia home chini kabisa kuna fields za kujaza so utachagua ni kiasi gani ubadilishe toka currency ipi kwenda ipi!! ngoja nikutaftie app uridhike
 
Natamani iwe kama program

okay nimefanikiwa kupata yenye currency za kibongo, nimeiattach hapo chini idownload na extract .zip file nilio attach
 

Attachments

  • Currency 1.7.1_18.zip
    890.6 KB · Views: 20
Back
Top Bottom