bright pledge Senior Member Joined Feb 12, 2021 Posts 157 Reaction score 309 Jun 29, 2023 #1 Mimi ni muhitimu wa kada ya afya clinical officer Niliapply avn number mwaka Jana nikatumiwa , Sasa kila nikijaribu kuitumia ku apply lesseni inagoma naambiwa hii avn namba haipo nisaidieni jamani mwenye uzoefu na hili
Mimi ni muhitimu wa kada ya afya clinical officer Niliapply avn number mwaka Jana nikatumiwa , Sasa kila nikijaribu kuitumia ku apply lesseni inagoma naambiwa hii avn namba haipo nisaidieni jamani mwenye uzoefu na hili
one wisow JF-Expert Member Joined Sep 9, 2019 Posts 1,327 Reaction score 1,917 Aug 30, 2023 #2 Poleee Nenda ofisi za NACTE itapata msaada