Msaada

Msaada

fatherliva

Member
Joined
Jun 11, 2022
Posts
18
Reaction score
24
DOGO ANA BCD KWENYE COMBINATION ANAWEZA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA KAMA MTAHINIWA WA KUJITEGEMEA(PC)?
 
Yeah anaweza, Maximum huwa ni points 10, BCD ni point 9, anafanya bila wasiswasii

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba inahitaji awe na principal passes 3, yaani C 3 bila kujali combination?? Kwamba hiyo BCD ingemsaidia ikiwa ana C nyingine ya somo lisilohusiana na combination?
 
Sio kwamba inahitaji awe na principal passes 3, yaani C 3 bila kujali combination?? Kwamba hiyo BCD ingemsaidia ikiwa ana C nyingine ya somo lisilohusiana na combination?
sina uhakika ila nasikia c3 ni kama unaingia shule kwa maana school candidate ila mtahiniwa wa kujitegemea ni kama ndugu alivyoainisha hapo juu
 
Sio kwamba inahitaji awe na principal passes 3, yaani C 3 bila kujali combination?? Kwamba hiyo BCD ingemsaidia ikiwa ana C nyingine ya somo lisilohusiana na combination?
Kigezo cha kwanza ni C3, Then katika combi yako min uwe na points 10 yaani AAA-CCD, mfano aliyepata Hist D Kisw C Engl C Civ C anaruhusiwa kusom HKL CCD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom