Mbambamule
Member
- Dec 12, 2021
- 7
- 15
Jaman habari za asubuh,nahitaji msaada wenu wa mawazo nimekosea kutoa pesa kwa wakala nikawapigia voda baada ya maongezi wakanambia ile ela imetolewa kwny namba ya huyo wakala niliokosea kwa msaada zaidi niende police na nimefika police wananambia hili swala mbona vodacom wanaweza limaliza wenyewe sisi hapa ingekua umekosea kutuma kwa mtu watu wa cyber wangehusika lakini kwasababu ni kwa wakala hao voda wanachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na wakala wake mkuu amfuatilie then km ataleta utata ndo swala liende police lkn sasa nmefka voda voda wananipga danadana.
Je kuna mtu ambae amewahi kutana na changamoto kama hii na aliisolve vipi ?Msaada plz
Je kuna mtu ambae amewahi kutana na changamoto kama hii na aliisolve vipi ?Msaada plz