Msaada!

God bell

JF-Expert Member
May 13, 2011
590
210
Wapendwa wana Jf naombeni kuelimishwa jinsi ya kununua mda wa internet kwenye mtandao wa Airtel.
 
andika message kwenda 15444 ikiwa na neno "internet"/"datasiku", fuata maelekezo yatakayokuja

ikishindikana piga 100
 
Back
Top Bottom