Kabla sijareset simu picha zangu zilikuwa zinaonekana kwenye google photo,lakin baada ya kureset sioni picha,msaada plz napataje picha zangu,ni za mhimi sana
Sio email umebiwa Google phoyos.
Una app ya Google photos? Kwama unayo ifungue then sign inn. Kama huna idownload.
Utaziona picha zako kama ulifanya buckup.
Sio email umebiwa Google phoyos.
Una app ya Google photos? Kwama unayo ifungue then sign inn. Kama huna idownload.
Utaziona picha zako kama ulifanya buckup.