msaada

msaada

images (12).jpeg
 
Enzi hizo Bongo movie haijavamiwa na kina steve nyerere (kihereherw kilikuwa mfukoni bado) nakumbuka hii ndio movie niliangalia usiku ule na alfajiri ikatolewa taarifa jamaa kavuta. Sikuwahi tena kukaa naangalia vipande vya meseji kutoka kwakina wema na wenzake. Yaani hata aibu hawaoni wanakopi vile vi memes halafu wanatengeneza movie.
 
Back
Top Bottom