Umetoka mbiombio umeona hapa ni facebook? Yani unaandikia watu kihunihuni alafu unasema kaa kimya... Unadhani nani atakupa msaada kwa huo muandiko kama mtoto wa darasa la kwanza...
Yani akili zako kweli kama za zaituni..... Namuonea huruma mzee hassani